Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,937
Umetsha aseeKumsaliti mkeo haimaanishi humpendi! Hii ni kama kukodi taksi na wakati una gari yako nyumbani.
Hii inakusaidia kuokoa mataili yasiharibike haraka na hata gari lionekane halijatembea umbali mrefu
[emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
naomba umsaliti wako basi kwangu mieVivo hivo kumsaliti mume sio kuwa humpendi, kuku mtamu ila kuna siku unamiss mchicha
[HASHTAG]#usinikasirikiemie[/HASHTAG]
Una mchicha au tembele?naomba umsaliti wako basi kwangu mie
Mwanamke hupaswi kuchepukaYaani wanaume bwana, mnatumia kila mbinu kuhalalisha Michepuko, ila kibao kikigeuka huwa mnaumia saana na kuona mnaonewa
Ndo maana nasema, mkuki kwa nguruweMwanamke hupaswi kuchepuka
Ligi Ili Iwe Tam Lazima Ufunge Na UfungweVivo hivo kumsaliti mume sio kuwa humpendi, kuku mtamu ila kuna siku unamiss mchicha
[HASHTAG]#usinikasirikiemie[/HASHTAG]
Na rafu ziwemo ndo pananogaLigi Ili Iwe Tam Lazima Ufunge Na Ufungwe
Mwana mke ukichepuka Malaya mwanamme nikichepuka kidume umeona tofautiYaani wanaume bwana, mnatumia kila mbinu kuhalalisha Michepuko, ila kibao kikigeuka huwa mnaumia saana na kuona mnaonewa
Kwakweli mwanaume mmoja tuuu anakinaisha jamani, wawe tu waelewa.Vivo hivo kumsaliti mume sio kuwa humpendi, kuku mtamu ila kuna siku unamiss mchicha
[HASHTAG]#usinikasirikiemie[/HASHTAG]
Tena mchicha pori ule unakuwa chukuchuku ni mtamu hatareeeee[emoji6]Vivo hivo kumsaliti mume sio kuwa humpendi, kuku mtamu ila kuna siku unamiss mchicha
[HASHTAG]#usinikasirikiemie[/HASHTAG]
Ukweli mchunguKwakweli mwanaume mmoja tuuu anakinaisha jamani, wawe tu waelewa.
#siomimininature#
Wote malaya tuu hamna jipya hapoMwana mke ukichepuka Malaya mwanamme nikichepuka kidume umeona tofauti
Ha ha ha unaula, unakunywa na mchuziTena mchicha pori ule unakuwa chukuchuku ni mtamu hatareeeee[emoji6]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Tena mchicha pori ule unakuwa chukuchuku ni mtamu hatareeeee[emoji6]