Kitendawili

yes. When you quote someone it is only fair to tag him otherwise hayo ni majungu. Na majungu huwa ni ya wanawake, so should i henceforth conclude that you are of the same gender for etiquette purposes?

we conclude tu haina tabu shemeji.
 
Nimefuatilia huu uzi, halafu naona hakuna Mtanzania hata mmoja ambaye amecoment, yaani watu washachoka na hizi hadithi na chuki za kipuzi. Wacha tuwaachie uwanja Warwanda, nina uhakika iko siku mtasikizana, na waliotorkea Tanzania watarudi kwao.
 
jMali,

Your hatred for Tutsi is absurd. You need to accept the fact that Tutsi are Rwandans too. Hata ukeshe hapa na propaganda zako za kipuuzi ukweli hautabadilika. Kagame is in power and is not going anywhere anytime soon. Wanyarwanda wanamkubali si kwa u-Tutsi wake bali ni kwa utendaji wake madhubuti. Rwanda is predominantly hutu so beneficiaries of educational policies as is the case with any other public policy are Hutu. Nimeona niwe muwazi kwa kuwa unapenda sana ukabila. Hutaki kukubali kuwa Rwanda inasonga mbele bila ya kuendekeza masuala ya ubaguzi wa kikabila kama unavyosema. Quit your stupid obsession with Tutsi. Chuki zako ni counter-productive. Watu kama ninyi ndio mlisababisha genocide in the first place. Most Hutu are hard-working peace-loving citizens who just aspire for a better life. Ni extremists like you and your uncles who are still stuck in 1959. Kwenu kila kitu kina sura ya makundi; tutsi this hutu that. Cmon kid move on!
 

Mzee wa sumu tema sumu tema sumuuuu. We kwani rwanda ulishafika? si huko huku bongo? au? Mzee wa sumu kwani we ni kabila gani? mbona hutaki kusema? tema sumu tema sumuuuu
 
Nimefuatilia huu uzi, halafu naona hakuna Mtanzania hata mmoja ambaye amecoment, yaani watu washachoka na hizi hadithi na chuki za kipuzi. Wacha tuwaachie uwanja Warwanda, nina uhakika iko siku mtasikizana, na waliotorkea Tanzania watarudi kwao.

Mama hupo? sijakusikia siku nyingi. Vipi al shabab? mumeelewana nao siku hizi? au mmekubali masharti yao?
Kweli Al shabab ni noma wamemshikisha sheria kenyata
 

Mkuu, wewe si ulisema ni mtanzania? au? hehehehhee.....
Mtanzania mwenye asili ya rwanda? Duh! ipo kazi huko kwenue sijui rwanda sijui kwa wanyamulenge ni balaaa.
 
Mkuu, wewe si ulisema ni mtanzania? au? hehehehhee.....
Mtanzania mwenye asili ya rwanda? Duh! ipo kazi huko kwenue sijui rwanda sijui kwa wanyamulenge ni balaaa.

JustDoItNow,

U-Tanzania wangu unahusika vipi katika maandishi yangu hapo juu? Swali hili muulize ndugu yako jMali maana yake yeye ndiye mueneza chuki za kikabila wakati wa-Tanzania hatuna tabia za kibaguzi iwe kwa ukabila, makundi, rangi n.k. Huyu kaka yako kutwa ni kuchukia Tutsi. Mwalimu alishasema dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu, ukianza huachi. Hapa jamaa yako leo anachukia Tutsi as if Hutu ni wamoja. Kesho atasema Hutu wa northern Rwanda ni bora kuliko Hutu wa southern Rwanda or vice versa. Amefikia hatua ya kukataa uwepo wa orphans of war kutokana na systematic rapes that Tutsi women were subjected to in the hands of interahamwe murderers. He wants people to believe that it is not possible for women to have been raped and left alive?! What an airhead. Mshauri kaka yako aende Rwanda aone hali halisi badala ya kutegemea propaganda na story za inyenyeri kupata habari za Rwanda. WaTanzania hatudanganyiki!
 

Ehehehe, eti watanzania hatudanganyiki. Unajua wewe na wenzio mnajichanganya kitu kimoja. Mtu yeyote anayemkosoa kagame ni interahamwe, na hutu. Wewe Tangu mwanzo ulishasema ni mtanzania ok, me i do not care kwasababu Tanzania ni wide country na tuna mchanganyiko wa watu wa ainatofauti tofauti sana. Watu kama wa Arusha, Singida, bukoba na watu wa kisiwa cha kome uzinza na ukerewe kidogo ukiwaangalia wakisema mimi mtusi unaweza ukaamini kutokana na kufanana.
Hilo mi sina shida kabisa.
Sasa shida inakuja hawa jamaa zako wakiona una mkosoa kagame unaitwa hutu. Ukimsifia kagame ndo unakuwa rafiki yao. Sasa huoni kuwa huo ni ukabila upo ndani ya haka kanchi kadogo? ina maana hakuna tusi anayemkosoa kagame? Hapa TZ ukabila na chama hakuna kabisa. Hata siku moja hutasikia mtu ana kutambua kabila lako kwa kumpinga kiongozi wa nchi au chama fulani
 
2001 That was exactly 7 years after the Genocide, with Genocide orphans in need of having at least a basic primary education
 
2001 That was exactly 7 years after the Genocide, with Genocide orphans in need of having at least a basic primary education

Habari ni ya 2014! Halafu are you saying orphans wote hawa walizaliwa exactly 1994 and not before? Leo hii aliyezaliwa 1994 ana miaka 20, je kuna ukweli kusema from std 1 up to 7, 50% wawe ni orphans of genocide?
 
Habari ni ya 2014! Halafu are you saying orphans wote hawa walizaliwa exactly 1994 and not before? Leo hii aliyezaliwa 1994 ana miaka 20, je kuna ukweli kusema from std 1 up to 7, 50% wawe ni orphans of genocide?
jMali, i dont think this to be an issue to be discussed by great thinkers:
Kwanza kumbuka hii sio public school, ni private school inayojiendesha kwakutegemea misaada ya wahisani:
Pili,sidhani kama wewe ndio utakuwa the first person ku notice kuwa watoto waliozaliwa 1994 sasa hivi ni watu wazima na hawahesabiwi katika watoto wa shule za msingi:
Kabla wahisani hawajatoa pesa nina imani wanatoa baada yakuwa convinced kwamba misaada inapelekwa pale inapohitajika.
Mpaka sasa hivi shule hii inapata misaada kutoka nje, unadhani hawajui anything about Rwanda Genocide?
Yes, stori imetolewa in 2014, lakini inaongelea shule iliyoanzishwa in 2001:
Kuna Rafiki yangu daktari, nilikutana naye jana na nikakuta kumbe nayeye anafuatiliaga mijadala humu jamiiforum:
Then he did mention something about you;
Infact inawezekana sana, wewe ni muathilika wa mauaji ya Rwanda, and your comments direction inaelekea maybe your parents are in prison in Rwanda ,killed during the war or you lost properties after 1994 Genocide and so you attribute those losses to all Tutsis.
And your daily concern on Rwanda, inakuwa kama kujaribu ku release something with in you.
The guy was feeling sympathy for you and infact you need counselling, you need to know that it was not only you, infact majority Rwandese lost families.
Hate is not a solution,kwani wewe ndio unajiumiza:
Iweje wewe tu, ndio ufahamike hapa jukwaani when it comes to the issues concerning Rwanda,inakuwaje you are always the topic starter for any negative news on Rwanda, Inakuwaje wewe ndio una onyesha openly hate against Tutsi?
 

Wether ni shule ya public or private tunaongelea policy ya yatima wa genocide against tutsis ambao kwa sasa obviously hawa-exist. Kwa hiyo policy hii kwa maana nyingine imewekwa ili mradi tu watutsi tu wawe 50% mashuleni ingawa wako less than 15% ya population ya nchi. Nchi makini haiwezi kukubali shule hata kama ni binafsi iwe na policies za kijinga jinga, hata hapa bongo shule private haiwezi kuweka policy ya kukataa wanafunzi wa kabila fulani au kuweka ratio ya kabila fulani.
Hizo personal attacks hazina ishu, lets go back to the hoja at hand.
 

Kumkosoa Kagame mbona ni jambo la kawaida, na Watanzania wengi humkosoa, lakini nyie wawili yenu huwa imepitiliza, mmejaa chuki za kishetani. Sipati picha jinsi ninaweza amka kila siku kuiponda nchi ya watu kutwa ilhali huku kwetu Nairobi tuna matatizo chungu nzima.

Kama nyie Watanzania wa kweli tungeona hata wakati mwingine mkihusika kwenye mambo ya Tanzania, maana hata kuna mambo mengi yanatendeka huko Bongo tunayaona yanagonga vichwa vya habari kimataifa. Ufisadi ule wa IPTL umefanya hadi Wazungu wamesitisha misaada, pembe za ndovu zinabebwa na ndege ya rais, juzi Watanzania wafugaji wamechoma hoteli ya kitalii na kuwafukuza watalii, kuna habari nimeona wafugaji na wakulima wanauana Tanzania kwa ajili ya ardhi n.k.

Watanzania wengi wanao-comment kuhusu Kagame hufanya hivyo lakini utawakuta tena kwenye forums za Kibongo wakiongea ya kwao, lakini nyie mmerogewa na Rwanda. Sijui Warwanda wakichinjana tena ndio mtafaidi kivipi.
 

Mbona wewe ni Mkenya lakini kila siku unafatilia mambo ya Tanzania? This is International forum. Maswala ya Tanzania tuachie watanzania wenyewe. Nilishakuambia hata ukitoa machozi ya damu, huwezi kuubadili utanzania wangu. Mimi hata mpakani mwa rwanda sijui pakoje. Sikutegemea kama ipo siku kanchi kadogo kama rwanda katamwambia Rais wetu kata m hit.
Kagame amepitia hapa bongo tumembebabeba leo hii unaona hata hao wazee wa jenosaidi wanaongea kiswahili fresh lakini dharau mtindo mmoja. Hii inaonyesha wamekaa sana Tanzania na mpaka sasa inawezekana wamo humu Tanzania. Kwa maana hiyo ndo maana tunawapigilia msumali. Kwenye issue za siasa za TZ mi nafatilia sana. nimejoin groups kwenye social networks kama kwenye whatsap kuhusu siasa, kwenye facebook, twiter, wale tuliosoma chuo kimoja, nk.
Rais kabila na marehemu baba yake tumewapa hifadhi hapa bongo. Sisi ni watu wazuri sana
we mwenyewe umelelewa na watanzania, lakini leo hii unashikamana na hao wauaji. Bwe.ge kweli wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…