Kitendawili

aduwilly

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
1,191
Reaction score
320
Kitendawili!!!!!
Ni mweupe Km Barafu, Na Ni mweuc Km Giza, Kuliwa Ni Haramu na ana manyoya mengi mwilini. Jina lake lina herufi (5) Na linaanzia Na Herufi (X). Wanaume huonana nae mara 3 kwa cku lkn wanawake humuona mara 1 ktk uhai wao wote. wafalme, maaskari, viongozi na wababe wanamuogopa sana lkn cha ajabu watoto wanamchezea. Chakula chake ni chumvi, tangawizi na maziwa. Je ni nani huyo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…