kuna kitu kinaitwa marashi,udi/ubani}..ni vema kufahamu mme wako huyo au mpnz wako anapenda harufu gan hasa mida hyo...mwingne chumba kinanuka dawa ya mbu,au mwanamke unanuka mosh cjui jasho,kwenye kipengele cha usafi marash muhimu.
vaa nguo fupi inama inama mbele yake apate hamu ya tendo
sio tu kuinama dia,..hata mikao ya tofauti ya kiuchokoz ni sawa,mara paja lote nnje,kitovu kionekane au kushkana na nguo vzuri,.chupi kujichora,maziwa huku chuchu zikichoma,eh kama ivo
vaa nguo fupi inama inama mbele yake apate hamu ya tendo
aaah wapi kusubiria huo mguu ukue lini,... mimi na mguu mwembamba penseli inaafadhali lakini najipiga hasa vitu vifupi na nasumbua mbaya mkuuuu.... utamu wa mtu haupo kwenye miguuu unene kuna mvuto mwingine pia loh!!Nguo fupi huendana na mguu,kama mguu wenyewe kama penseli mtu hata hustuki.