The lastborn9319
JF-Expert Member
- Oct 30, 2021
- 922
- 1,865
Kwani wasukuma hatuna haki ya kupiga kura..ngosha hapo ndo mnapofeli chadomoungemalizia kuwa wewe ni msukuma kutoka kahama mkuu
Goodest
Kama lissu atagombea urais 2025 mchuano utakuwa mkali sana,ila mimi mama kura yangu ameshaipata...kuna raha sana kuongozwa na mama,kwanza ni mpole,ana busara,hana lugha mbovumbovu za vitisho..hana kauli za kishujaa kama wamba wengine
Mama mitano tena...
Siasa ndivyo zilivyo !
Kweli huyu alikua mtabiri, nakumbuka enzi hizo ilikua channel ten bila shaka
Je hivyo ndivyo alivyo tabiri au ameongezewa maneno na wajanja ??!
Kifo ni kifo tu ni kauli ya kipole..Kama lissu atagombea urais 2025 mchuano utakuwa mkali sana,ila mimi mama kura yangu ameshaipata...kuna raha sana kuongozwa na mama,kwanza ni mpole,ana busara,hana lugha mbovumbovu za vitisho..hana kauli za kishujaa kama wamba wengine
Mama mitano tena...
Miamba ya kibongobongo...!!!Jina lako lastborn...
Unajisikia raha kuongozwa na mama...
Hupendi kauli za kishujaa kama za miamba wengine.
Okay!