Hata uwe na kitanda kizuri namna gani km hamna hisia za ndani na ufanisi katika huduma toka kwa hao wanaolala hapo ni kazi bure, Kwanza upendo/mapenzi halafu mengine yanafuata.
Wapo matajiri wenye kila kitu ndani lakini bado wanalazimika kwenda uswahilini kwenye vitanda vya banko na wanalala usingizi fofofo na kujisikia raha na hao wanaolala nao.