Kitanda, sofa, dressing table na laptop vinauzwa

mkuu ni Pm namba yako na niambie unakaa mtaa gani nije kuzoa vyote hivyo, na kuna kingine ambacho umekisaha utaongezea hapo
 
Nimeangalia hivyo vitu vyako naona kama haviuziki kabisa..!!
sasa hilo ni sofa au makazi ya panya..?
Na hiyo ni laptop au tv tumbo?
Anyway labda camera uliyo tumia haina ubora, acha tuamini hivyo..
 
Nimeangalia hivyo vitu vyako naona kama haviuziki kabisa..!!
sasa hilo ni sofa au makazi ya panya..?
Na hiyo ni laptop au tv tumbo?
Anyway labda camera uliyo tumia haina ubora, acha tuamini hivyo..
kiukweli hivyo vitu havivitii kabisa, vya kizamani mno
 
Nimeangalia hivyo vitu vyako naona kama haviuziki kabisa..!!
sasa hilo ni sofa au makazi ya panya..?
Na hiyo ni laptop au tv tumbo?
Anyway labda camera uliyo tumia haina ubora, acha tuamini hivyo..
Camera ni ya kizamani vitauzika tu hata kwa bei ya kutupwa
 
Kufuri mkuu ila haziuzwi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…