Kitanda na godoro vinauzwa Mabibo

Kitanda na godoro vinauzwa Mabibo

dropetch

Member
Joined
Aug 3, 2017
Posts
88
Reaction score
80
Kitanda cha mbao na godoro 5 X 6 vinauzwa..
Godoro ni Inch nane (GSM)

Eneo: Mabibo External

Bei: 280K maelewano yapo kidogo

Nicheck 0675 425 148
IMG-20180725-WA0025.jpeg
IMG-20180725-WA0023.jpeg
IMAG0455.jpg
IMG-20180725-WA0016.jpeg
 
Kunguni halina mzee baba. Au unauza na kunguni wake
 
me nataka chumba na godoro hapo vipi kipo wazi na je godoro bila kitanda unauzaje
 
tushaongea kaka krsho mchana ntakuja kukichukua nlikupigia kwa namba inasishia 41
 
Back
Top Bottom