specialist88
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,140
- 619
ha ha kumbeSi ulisema umeuza mkuu kipindi kile au tapeli wewe unauza kitu mara mbili
Ndo hivo madam tena me ni miongoni kwa watu nalilia kununua na nilikua nataka sofa bed na akija na conclusion kashauza leo naona anaweka tena biashara ya kitu ambacho alitangaza mwenyewe Kimepata mtejaha ha kumbe
duh hatari sana .. wanamwisho mbayaNdo hivo madam tena me ni miongoni kwa watu nalilia kununua na nilikua nataka sofa bed na akija na conclusion kashauza leo naona anaweka tena biashara ya kitu ambacho alitangaza mwenyewe Kimepata mteja
ha hha faru john mzee wa totozDah naogopa naona shuka limejaa picha za Faru, tafadhali weka kabisa jina halisi LA huyo Faru
Hahaha mkuu specialist mbona unaaibika sasahicho kitanda ni cha gest fulani hivii iko kimara mwisho huwa naitumia sanaa hiyo gest kwa sababu hainaga joto nikiwa nachepuka
Hahahahaha hiki kitanda kinaweza kupotea kama FJha hha faru john mzee wa totoz
ha hahahaaHahahahaha hiki kitanda kinaweza kupotea kama FJ
ha hhaha mkuu duhhicho kitanda ni cha gest fulani hivii iko kimara mwisho huwa naitumia sanaa hiyo gest kwa sababu hainaga joto nikiwa nachepuka