Kitanda KINAUZWA

Kitanda KINAUZWA

embojo

Senior Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
175
Reaction score
41
Kitanda cha 5*6 KINAUZWA.
Bei ni 150000 kiko Moro
PM for details
 
1.weka picha
2.mito na mashuka unabaki nayo au unauza...?
3.kitandani cha mbao au cha chuma?
4.vp khs kunguni?
5.old model au new model?
6.vp kina risit?
7.made in china au made in Tanzania?
8.kimetumika muda gani?
9.sababu za kuuza?
10.ni cha spring au cha maji au chaga za kawaida?

Kama hayo majibu unayo nipo arusha ntahitaji kutumiwa....
 
Haya maswali kamuulize Bibi yako,nafikiri atakuwa na majibu ya kutosha
 
Haya maswali kamuulize Bibi yako,nafikiri atakuwa na majibu ya kutosha

mbona kiburi bwana mdogo? unauza kitanda au huuzi?
kama huwezi kuongea na mteja vizuri its better ukavunga usifanye biashara kabisa...
ungeweka picha ningekuwa sina maswali.
 
mbona kiburi bwana mdogo? unauza kitanda au huuzi?
kama huwezi kuongea na mteja vizuri its better ukavunga usifanye biashara kabisa...
ungeweka picha ningekuwa sina maswali.

Huna hela wewe longo longo nyingi,an empty can is the one that makes the most noise
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom