Tayo zeboss
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 467
- 196
Size ni 4 kwa 6 pia kilitumia miezi nane iliyopita so kipo katika hali nzuri.
Bei tsh 75000/= tu
WhatsApp 0713943432
nipo dar es salaam
Umepigia mechi ngapi kwenye hicho kitanda?
Samahani lakini,just kujua tu kama chaga zake bado zipo imara au la!
mkuu kula 40
Kitanda kimechoka mbaya. Ni cha kizamani sana. Kula buku tano!
Mchezo wa kikubwa.!
ni mbao gani hicho mkuu
75.unanketea tankibovu??ni pm
Mninga.
napenda sana kitanda ha mbao ila sasa vitanda hivi unakuta duuh
anyways
wauzie watu wa seremala
wanakigeuza kinakua kipyaaa
Mninga.
upo mitaa gani nije kukiona live