Kitanda Kinapogeuka Kinanda, Unafanyaje?

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,734
Usingizi mzuri na mnono unapatikana mahali palipo na utulivu na hewa yenye jotoridi la wastani. Baadhi ya vifaa tunavyovitumia kupatia usingizi huo vinapoleta mushkeli, ni wakati mzuri wa kuvirekebisha ili kupata usingizi mwanana. Pia wale wenye majukumu ya ziada inatokea uwanja wa sita kwa sita ukawa unapiga kelele za kwichi kwichi... Je ni hatua gani za kuchukua ili kuondoa hali hiyo?

Kaza nati/Screw:
Kitu chochote kinapotumia (mechanical movement) huwa kina tabia ya kulegea. Hivyo kama kitanda chako kina nati/screw zikaze mara kwa mara.
Weka vilainishi:
Mimina oil/grease kwenye maungio ya vipande vya kitanda. Hasa kwenye maungio kama bawaba na kwenye chaga, ambayo inashikana na upande wa kitanda.
Kupata usingizi mwanana, kumbuka kulalia mashuka masafi/ mto msafi. Pia hakikisha chumba kimepuliziwa dawa ya mbu au lala kwenye chandarua hasa kile kilichowekwa dawa....
 
Ahhhh, umenena mkuu, hakuna starehe nzuri kwangu kama kulala
 
Ushauri mzuri, maana ukichanganya na makelele ya uongo ya vilele (fake moaning) huwezi jua kama upo gereji au kliniki.
^^
 
Nisipolala vizuri naumwa kabisa....
 
Utamu wa kitanda muwe wawili..... Out of that hata kitanda kikiwa kizuri kiasi gani hakinogi
 
Mimi ni Mlinzi napumzika kwenye kibox
Nayemlinda ni Boss mwenye Bungalow vyumba vipo mbali na vya watoto akiuomba mama watoto wake ni kelele tu za mihemo bora ya kitanda
kwa hiyo mchana nalaia ngozu kwangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…