Mmoja juu na mwingine chiniMkuu sasa ukinunua
Hicho kitanda wakija,wagen wa2 wakike,na wakiume utawalaza hicho chumba
Kimoja cha wagen
[Color= yellow]Triple A[/color]
Kanisani upande wa kushoto ukitokea ukwamaniKawe ipi mkuu? Kawe ukwamani? Kanisani ? Au kawe mwisho? Nisaidie kunielekeza mkuu.
Usisahau kununua FIRST AID KIT make vitanda hivyo na majeraha ni mtu na nduguye!
Unataka vingapi? Nicheck kw no. 0713118737Wana Jf wote ;
Habari zenu ndugu zangu!
Naomba mnifahamishe je kitanda kama hiki kinachoonekana hapa chini naweza kukipata wapi kwa hapa Dar ? Au kiwanda kinachotengeza hivyo vitanda.
Binafsi nahitaji kama vitanda vitatu kwa matumizi ya familia - watoto wa kiume, wa kike, na emergency kwa mgeni akinitembelea. Sipendi watoto walale kitanda kimoja au mgeni yeyote kulala chumba au kitanda kimoja na mtoto wangu.
View attachment 549816 View attachment 549816 View attachment 549816
Ipo siku utataka mwanao akae kwenye dunia yake peke yake!Wana Jf wote ;
Habari zenu ndugu zangu!
Naomba mnifahamishe je kitanda kama hiki kinachoonekana hapa chini naweza kukipata wapi kwa hapa Dar ? Au kiwanda kinachotengeza hivyo vitanda.
Binafsi nahitaji kama vitanda vitatu kwa matumizi ya familia - watoto wa kiume, wa kike, na emergency kwa mgeni akinitembelea. Sipendi watoto walale kitanda kimoja au mgeni yeyote kulala chumba au kitanda kimoja na mtoto wangu.
View attachment 549816 View attachment 549816 View attachment 549816
Nilikuwa na hostel nimeifunga dat's y nimekuuliza unataka vingapiunaweza kutengeneza kama hivyo au ndio unataka kunifanyia udalali? be serious elezea vizuri hapa ili hata kama kuna wengine waweze kukutafuta.
Mimi nitakucheki lakini elezea na kama una picha ya kazi ulizofanya weka hapa iili watu waone wavutiwe nazo.