Mkuu hilo godoro ulikuwa unalalia likiwa na nailoni duuh ila naitaka hiyo dressing kwa laki moja boss5 × 6 bed set ( with mattres ) cha kisasa na godoro 8inches Tsh 600,000
Dressing table Tsh 200,000
Kabati 2 doors Tsh 300,000
Vyote sh 1M.
Vipya na original (not chinese) with guarantee.
I sell because i quit the territory.
+255738863246 (Calls_WhatsApp )
Mbagara ,Dar.
View attachment 847206View attachment 847207View attachment 847208View attachment 847209View attachment 847210View attachment 847211
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipya, havijatumika.Mkuu hilo godoro ulikuwa unalalia likiwa na nailoni duuh ila naitaka hiyo dressing kwa laki moja boss
Poapoa mkuu,nna laki nahtaj hyo dressing boss
Asante
Mtoto wa kiume dressing table kvp chief.Mkuu hilo godoro ulikuwa unalalia likiwa na nailoni duuh ila naitaka hiyo dressing kwa laki moja boss
Shemeji yako yupo mkuu so ataitumia.
Poapoa zimefika mkuu.
Alikuwa anaishi kama shetaniMkuu hilo godoro ulikuwa unalalia likiwa na nailoni duuh ila naitaka hiyo dressing kwa laki moja boss
Dont be ridiculous. If you are serious call me! My address / contacts are listed, plain to see!Vitu vyote vipya...au ndo style ya mpya ya kuuza. Anyway hicho kitanda bei gani?