Jeny faraji
Senior Member
- Jan 20, 2018
- 164
- 34
hhhh kumbe umeshtukia hilo dili.....shida utakiweka wap hata mlinzi hawezi kubali kukitumiaTatizo kinafanana na vile vya hospitalini.
Mbna hakifanani jaman, ww kaangalie kitanda cha hospital vizuri uone kama viko hvoTatizo kinafanana na vile vya hospitalini.
MSD ndo wap ukoVinafanana na vya MSD
Udakwe na nanLazima udakwe hiki
Amna bhana, ww angalia vitanda vya hospital vizuri uone kama viko hvo[emoji16] [emoji16] [emoji16] kama vya hospital mbona
Unakiweka chumban, tena hiko ndo kizuri kukitumia sanaa kama ukiwa bachela unahama hama makaz ni rahic kukibebahhhh kumbe umeshtukia hilo dili.....shida utakiweka wap hata mlinzi hawezi kubali kukitumia
Kwani sio chenyewe hicho?Tatizo kinafanana na vile vya hospitalini.
Sio chenyewe kingekua chenyewe kingekua na nembo ya hospital fulan, sasa kingekua cha hospital ningekitoaje hospital mpka ukuKwani sio chenyewe hicho?
Poa mkuu haina shida nimekuelewaSio chenyewe kingekua chenyewe kingekua na nembo ya hospital fulan, sasa kingekua cha hospital ningekitoaje hospital mpka uku
Sio chenyewe kingekua chenyewe kingekua na nembo ya hospital fulan, sasa kingekua cha hospital ningekitoaje hospital mpka uku
Ndio kinajikunjaKukitoa sio ishu, si kina jikunja
Ndio kinajikunjaKukitoa sio ishu, si kina jikunja
Ndio kinajikunja