Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,653
Kwa nini unasema visima vya Saudia vimeshambuliwa na Iran wakati Houthis wamekiri ni wao. Jaribu kufatilia source tofauti tofauti za habari. Main stream media wanapotosha sana kwa maslahi wanayojua waoLeo nimeona Trump karudisha sanctions dhidi ya Iran. Na pia Saudi baada ya visima vyao vya mafuta kushambuliwa na Iran majuzi tu, wameamua kutengeneza press conference kabisa na ushahidi. Kwa wenye uelewa hapa tunajua kwamba Iran anatengenezwa justification ya military attack ili akivamiwa dunia isilalamike. Yetu macho.......
Leo nimeona Trump karudisha sanctions dhidi ya Iran. Na pia Saudi baada ya visima vyao vya mafuta kushambuliwa na Iran majuzi tu, wameamua kutengeneza press conference kabisa na ushahidi. Kwa wenye uelewa hapa tunajua kwamba Iran anatengenezwa justification ya military attack ili akivamiwa dunia isilalamike. Yetu macho.......
Marekani wa enzi za George Bush sio Marekani wa DT. USA akithubutu kupeleka pua yake Iran ndio utakuwa mwisho wake.Leo nimeona Trump karudisha sanctions dhidi ya Iran. Na pia Saudi baada ya visima vyao vya mafuta kushambuliwa na Iran majuzi tu, wameamua kutengeneza press conference kabisa na ushahidi. Kwa wenye uelewa hapa tunajua kwamba Iran anatengenezwa justification ya military attack ili akivamiwa dunia isilalamike. Yetu macho.......
Nani kakudanganya, marekani ni super power tuombe tu Mungu wasiipige Iran maana amani na utulivu wa eneo hilo vitapoteaMarekani wa enzi za George Bush sio Marekani wa DT. USA akithubutu kupeleka pua yake Iran ndio utakuwa mwisho wake.
Wamguse waone..Leo nimeona Trump karudisha sanctions dhidi ya Iran. Na pia Saudi baada ya visima vyao vya mafuta kushambuliwa na Iran majuzi tu, wameamua kutengeneza press conference kabisa na ushahidi. Kwa wenye uelewa hapa tunajua kwamba Iran anatengenezwa justification ya military attack ili akivamiwa dunia isilalamike. Yetu macho.......
Wamguse waone..
Iran ana backup ya Urudi na China ambao ni bitter rivals wa marekani
hao wanatafutuna suku nyingi soma ;**1984: West German intelligence sources claim that Iran’s production of a bomb “is entering its final stages.” US Senator Alan Cranston claims Iran is seven years away from making a weapon. 1992: Israeli parliamentarian Benjamin Netanyahu tells his colleagues that Iran is 3 to 5 years from being able to produce a nuclear weapon. — 1995: The New York Times reports that US and Israeli officials fear “Iran is much closer to producing nuclear weapons than previously thought” – less than five years away. Netanyahu claims the time frame is three to five years. 1996: Israeli Prime Minister Shimon Peres claims Iran will have nuclear weapons in four years. — 1998: Former Secretary of Defense Donald Rumsfeld claims Iran could build an ICBM capable of reaching the US within five years. — 1999: An Israeli military official claims that Iran will have a nuclear weapon within five years. — 2001: The Israeli Minister of Defense claims that Iran will be ready to launch a nuclear weapon in less than four years. — 2002: The CIA warns that the danger of nuclear weapons from Iran is higher than during the Cold War because its missile capability has grown more quickly than expected since 2000 – putting it on par with North Korea. — 2003: A high-ranking Israeli military officer tells the Knesset that Iran will have the bomb by 2005 — 17 months away. — 2006: A State Department official claims that Iran may be capable of building a nuclear weapon in 16 days. — 2008: An Israeli general tells the Cabinet that Iran is “half-way” to enriching enough uranium to build a nuclear weapon and will have a working weapon no later than the end of 2010. — 2009: Israeli Defense Minister Ehud Barak estimates that Iran is 6-18 months away from building an operative nuclear weapon. — 2010: Israeli decision-makers believe that Iran is at most 1-3 years away from being able to assemble a nuclear weapon. — 2011: IAEA report indicates that Iran could build a nuclear weapon within months. — 2012: Netanyahu draws a cartoon bomb on cardboard paper in a speech to the UN. Saying bomb is "months away" — 2013: Israeli intelligence officials claim that Iran could have the bomb by 2015 or 2016. — 2018: Netanyahu says Iran is 8 years away from NuclearKwa nini unasema visima vya Saudia vimeshambuliwa na Iran wakati Houthis wamekiri ni wao. Jaribu kufatilia source tofauti tofauti za habari. Main stream media wanapotosha sana kwa maslahi wanayojua wao
Suala la Marekani kuivamia Iran mtasubili sana kama mnavyo msubilia yesu na hamumuoni.Leo nimeona Trump karudisha sanctions dhidi ya Iran. Na pia Saudi baada ya visima vyao vya mafuta kushambuliwa na Iran majuzi tu, wameamua kutengeneza press conference kabisa na ushahidi. Kwa wenye uelewa hapa tunajua kwamba Iran anatengenezwa justification ya military attack ili akivamiwa dunia isilalamike. Yetu macho.......
Alisikika mnywa komoni wa pale Mtaa wa fisi ManzeseMarekani wa enzi za George Bush sio Marekani wa DT. USA akithubutu kupeleka pua yake Iran ndio utakuwa mwisho wake.
yaani wakitaka wakipate kilichomtoa kanga manyoya wathubutu ku wage war against Iran
kuna wadau wanamtamani marekani wamdunde ila bado nao hawajapata sababu....
That's is true! China anaimarisha Uchumi hana muda wa kutetea wapuuzi. Vita ni pesa.ishu ya iran wakubwa wakishapata uhakika ni yeye huyo mchina na Russia hutawaona wakimtetea ataachwa mkiwa then itabaki story, iran hawez kusimama na marekani, anachofanya marekani now ni kutafuta ushawishi na sababu ya kuivamia iran
Dah alikosea sana kumfukuza Bolton sasa hivi ndio angemtumia vizuriTrump siyo mpenzi wa vita!