Mpeni sifa Yesu
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 646
- 130
softcopy hatutoi, kinauzwa na tunajua tukiweka softcopy tu hapa, hakitauzika tena. tunazo hard copy tu, na hata softcopy tulizonazo ziko na password ambayo mtu mmoja tu ndiyo anayo, yaani mimi ninayeandika. SHERIA KWA KISWAHILIMimi nahitaji softcopy yake nitapata?
softcopy hatutoi, kinauzwa na tunajua tukiweka softcopy tu hapa, hakitauzika tena. tunazo hard copy tu, na hata softcopy tulizonazo ziko na password ambayo mtu mmoja tu ndiyo anayo, yaani mimi ninayeandika. SHERIA KWA KISWAHILI
soft copy hatuuzi hata kwa milioni. hii iko wazi hatuhitaji kujadili inaeleweka tu. karibu.Mkuu, nilipokuulizia softcopy sikumaanisha nataka bure. Hivi haiwezekani kuuza ebooks? tunakoelekea mtoto wa darasa la kwanza atatakiwa kwenda na laptop shuleni ambayo ndiyo itakuwa ni daftari na kitabu chake. Unaweza kabisa kuuza soft copy na mtu asikuibie, ni wewe tu unatakiwa ujipange.
soft copy hatuuzi hata kwa milioni. hii iko wazi hatuhitaji kujadili inaeleweka tu. karibu.
hahaha, biashara inaenda vizuri sana. kwa wale wa Arusha kila mwezi tunatuma box la vitabu si chini ya 100 kwenda pale KASE BOOK STORE na vinaisha vyote, watu wa Moshi na Arusha wote wananunua pale Kase book store.Duhh muuzaji kitabu mkali huyo. Duhh biashara itaenda kweli kwa hayo majibu???