KITA is back "Kwa Hasira".

KITA

Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
20
Reaction score
5
Kwa kipindi nalikuwa nagonjeka. Kuna maraia wanaroga sana. Sasa bado nina hasira na Watanzania wanaosaliti wenzao, wakiwa wanajua kabisa kuwa dhili ni yetu na wageni wanapita. Zaidi tunawasaidia kuiletea Tanzania hasara, hasa maeneo ambayo Serikali na taasisi zake wana hisa.

Stay tuned, niuze hoja za uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…