Nadhani ni wazi Kiswahili kinakua.
.........................
Halafu angalia pia
mtandaoni: mablogu (ingawa mara nyingi Kiswenglish) na
]sw.wikipedia.com (inayokua na kuhitaji wachangiaji zaidi!).
Ila tu sioni Kiswahili Afrika kote. Nenda Afrika ya Magharibi jaribu kupata fufu kwa Kiswahili utaona.