kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 523
- 916
kiswahil akjakaa kmaaba kabsa mfano mm dame aknambia mpenz nakupenda namona mwzi tu ana lolote. ufup kswahil achen watumie askar na jeshn cio ktk mapenz lakn english inapendeza bhana unakuta mtoto anakwambia i love you darling inapendeza afu ina mvuto sna umpate mtoto anajua kunongoneza kimaaba asa pale kwny abar ynywe mbona raa. watoto wa uswaz mkasome:behindsofa:
ongela umekua wa kwnz ku reply post
Tatizo msamiati wako wa kiswahili mdogo sana. Kiswahili kina maneno ya mahaba kuliko kingereza. Nakifananisha na kispanyola, kitaliano na kifaransa kwa maneno ya mahaba. Kijerumani nndio bure kabisa.
mwalimu wako wa mwandiko alikua mlevi bila shaka!!! sio kiswahili hicho
Hahahaaaa kila anapoanzisha post znafutwa
Ha ha zaidi ya ku express love - mucho más que expresar el amor!
yani anaedit mara kumi kumi lakini bado... RIP mwalimu wa kiswahili
Tatizo msamiati wako wa kiswahili mdogo sana. Kiswahili kina maneno ya mahaba kuliko kingereza. Nakifananisha na kispanyola, kitaliano na kifaransa kwa maneno ya mahaba. Kijerumani nndio bure kabisa.