Unapolinganisha miji, usiangalie continent jomba...nenda ki nchi, kw sababu kuna nchi ndogo na kubwa(geographically) kwhyo mfano wako bado sana...
Tukienda ki nchi, turkey na uingereza hakuna miji zaidi ya instabul na london(respectively) kw maendeleo