BOT imekuwepo mwanza since 1970's .Hili jengo unalilofunguliwa jana limejengwa kutoka na demand kuongezeka ukizingatia Mwanza ndo centre ya biashara ya madini afrika mashariki na kati.So,kuna biashara kubwa kuliko matarajio yaliyokuwepo since miaka ya nyuma.Mwanza kuna majengo makuu matatu ikiwa pamoja na Chuo kikuu cha BO.Ukweli ni kwamba size ya Mwanza ni Kampala,Kigali na Mombasa sio Kisumu city ndo maana Kisumu yenyewe inazidiwa Nakuru new city.