Ebu tuambie ni lini mwisho mtu alikufa njaa Kenya.Watu mmekalia magdp tuuu akati mnakufaa njaa ebu niondolee akili yako ya msaada hapaa, siku mkiwa na sustainable food supply njoo ujitambe hapaa ila kwa sasaivi endelea kula githeri
Go downUpdate: PAX Terminal Mwanza Airport
🤣🤣🤣Huu uzwazwa mwingine nyamagana ni manispaa tangu lini ndugu ???Ila kumbuka kwamba mfumo unaotumia Dar umeanzia Mwanza ukisikia Mwanza city jua hiyo ni manispaa moja ya Nyamagana na Mwanza ina manispaa tatu(ilemela,nyamagana,kisesa)ambazo kila moja ni sawa na Arusha na Kisumu wendelea kupiga kelele ila kumbuka kuna watalamu wa haya mambo.
Tuonyeshe areal view ya suburbs za mwanza kama hizi za kisumuHii kisumu size yake ni jiji la Tanga, hakuna cha ajabu hapo.
wanatoa wapi na huko ni jangwa 100%Tatizo unatumia bichwa lako kubebea kuni sio kufikiria we tangu lini umeskia uae wanapewa misaada ya chakula 🤔😅😅, hao waliwaletea hivyo vyakula vya msaaada
We jamaa kwelii pungaa ebu kavue barakoa ilo ndio uje ubwabwaje hapawanatoa wapi na huko ni jangwa 100%
lakini penda usipende, kenya has been the dominant economy in east and central africa since independence. kenya is ahead of Tz in each and every aspect!. we are among the most influential ecomonies in africa. nairobi is in the class of 'global cities' in the same league with capetown, joburg, cairo. (even ahead of lagos). its perceives as the tech giant (silicon) of africa and the best alternative outside south africa in foreign investment, if you are to tap into african market..Watu mmekalia magdp tuuu akati mnakufaa njaa ebu niondolee akili yako ya msaada hapaa, siku mkiwa na sustainable food supply njoo ujitambe hapaa ila kwa sasaivi endelea kula githeri
Hiyo ni go up.Go down
With debt to GDP ratio of 95% sio?lakini penda usipende, kenya has been the dominant economy in east and central africa since independence. kenya is ahead of Tz in each and every aspect!. we are among the most influential ecomonies in africa. nairobi is in the class of 'global cities' in the same league with capetown, joburg, cairo. (even ahead of lagos). its perceives as the tech giant (silicon) of africa. Google-africa, IBM, Huawei, UN, coca cola africa, facebook africa, general electric africa, general motors africa, amazon, GTC africa, alibaba, airtel, IMF, CGTN, World Bank, toyota, mitsubishi, nestlè.. etc etc. all have their africa headquaters in nairobi, kenya
Wewe nyamaza hujui maana ya go down.H
Hiyo ni go up.
Unarusha cheche kibao ila bado watu mnaletewa msaada wa chakula na UAElakini penda usipende, kenya has been the dominant economy in east and central africa since independence. kenya is ahead of Tz in each and every aspect!. we are among the most influential ecomonies in africa. nairobi is in the class of 'global cities' in the same league with capetown, joburg, cairo. (even ahead of lagos). its perceives as the tech giant (silicon) of africa and the best alternative outside south africa in foreign investment, if you are to tap into african market..
Google-africa, IBM, Huawei, UN, coca cola africa, facebook africa, general electric africa, general motors africa, amazon, GTC africa, alibaba, airtel, motorola, IMF, CGTN, World Bank, toyota, mitsubishi, Scania, nestlè.. etc etc. all have their africa headquaters in nairobi, kenya
sawa Fundi TasaUnarusha cheche kibao ila bado watu mnaletewa msaada wa chakula na UAE
Sawa kiongoz nimekaa kimy😷😷😷Wewe nyamaza hujui maana ya go down.
Safi sana chief geza ulole tupe maproject yanayoendelea huko Mwanza.Update: the 3.2km JPM's Kigongo-Busisi bridge (29% n counting..)
Pumbavu sana kumbe ninachat na kilaza pumbavu sana tena alikoTanzania hata Tanzania haliijui.Kwahiyo Almashauri ya jiji la Mwanza inaundwa na manispaa hipi kama sio Nyamagana.Tena manispaa ya ilemela ndo kiboko hiyo Arusha inaingia mara mbili.Swala la kisesa kuwa manispaaa tayari labda kwa mamlaka yako njoo utenguwe.Kaarusha nikado kanazidiwa na Mbeya naona na Dodoma inakuja kasi itakapiga chini.Kwa taarifa yako na Mbeya city kwasbabu ni kubwa serikali hiko kwenye mchakato wa kiongezea Manispaa,nyie huko Arusha endelee kupiga kelele na kuonea wivu maeneo mengine utadhani wakimbizi kutoka Somalia baada ya kufanya maendeleo mtapitwa na kila mkoa Iringa nao wanakuja.🤣🤣🤣Huu uzwazwa mwingine nyamagana ni manispaa tangu lini ndugu ???
Jiji pekee linaundwa Na halmashauri 3 kutoa dar ni arusha
Sasa we jisahaulishe kama kisesa iko magu Na hata wilaya haipewi hiyo hadhi tena ndio nyie nyie mnaotaka mkoa wa chato
Kwanza unatakiwa kuwa na Adabu Mwanza ndo Jiji kuu baada ya Dar.Jiji hili limekuwepo bado Arusha inaitwa manispaa.Masiko hayawezi zidi kichwa.Maswala ya Chato kawaulize wanachato watakusahidia.🤣🤣🤣Huu uzwazwa mwingine nyamagana ni manispaa tangu lini ndugu ???
Jiji pekee linaundwa Na halmashauri 3 kutoa dar ni arusha
Sasa we jisahaulishe kama kisesa iko magu Na hata wilaya haipewi hiyo hadhi tena ndio nyie nyie mnaotaka mkoa wa chato
🤣🤣🤣Kwa uzwazwa wako umesahau bagamoyo Na kigoma ujiji zilikua zimeipita dar????Kwanza unatakiwa kuwa na Adabu Mwanza ndo Jiji kuu baada ya Dar.Jiji hili limekuwepo bado Arusha inaitwa manispaa.Masiko hayawezi zidi kichwa.Maswala ya Chato kawaulize wanachato watakusahidia.