Kisumu vs Mwanza

Kama bado mnapokea misaada ya chakula mm uniambii lolote na iyo mi Bp yako sijui gdp
 
I
Kama bado mnapokea misaada ya chakula mmuo uniambii lolote na iyo mi Bp yako sijui gdp

Kama bado mnapokea misaada ya chakula mm uniambii lolote na iyo mi Bp yako sijui gdp
Sasa wewe fundi kitasa Bora sisi au bora wao ndo maana tunaitwa wadanganyika tunaaminishwa sisi ni matajiri lakini hamna kitu...hapo yenyewe unakuta hujala mmepandishiwa bei ya vivurushi kidogo mmeanza kubwabwajaπŸ˜‚πŸ˜‚
Umaskini umewajaa Kazi kujilinganisha Na Kenya hawawatu wametuzidi sana
 
ee bwana ee.. hicho kiswahili chako kidogo kimenizingua, kimekomaa kimashahiri, kimeenda shule.. kimekolea.. hataa sisemi kitu mie. sisi wanakenya naomba mtupeleke skuli
 
hapo ndipo! πŸ˜†. nadhaani hiyo volume iko sawa
 
Dubai/UAE na Saudia wanapokea chakula yao yote toka nje lakini....... yatafakari hayo
Tatizo unatumia bichwa lako kubebea kuni sio kufikiria we tangu lini umeskia uae wanapewa misaada ya chakula πŸ€”πŸ˜…πŸ˜…, hao waliwaletea hivyo vyakula vya msaaada
 
GDP ya Kenya is two times bigger than the one in Tanzania.
Watu mmekalia magdp tuuu akati mnakufaa njaa ebu niondolee akili yako ya msaada hapaa, siku mkiwa na sustainable food supply njoo ujitambe hapaa ila kwa sasaivi endelea kula githeri
 
Sasa wao wanaaminshwa matajiri alafu wanakufa na njaa wapi na wapi Acha kukaza fuvu mzee hujazuiliwa kuhamia Kenya
 
Ila kumbuka kwamba mfumo unaotumia Dar umeanzia Mwanza ukisikia Mwanza city jua hiyo ni manispaa moja ya Nyamagana na Mwanza ina manispaa tatu(ilemela,nyamagana,kisesa)ambazo kila moja ni sawa na Arusha na Kisumu wendelea kupiga kelele ila kumbuka kuna watalamu wa haya mambo.
 
Mwanza ni size ya Kisii we acha zako. East African cities is like below
Nairobi
Addis Ababa
Dar
Mombasa
Kampala
Kisumu
Arusha
Nakuru
Eldoret
Mwanza
Utapiga kelele sana na kupanga malink ya kinafiki ila ukweli unaujua.Kawaida yenu wakenya nikujimwambafy kama mwanamke malaya.Hiyo nairobi haifkii Addis au Dar hata kidogo.Swala la Mwanza hamujaanza leo kupiga kelele ila kipigo kiko palepale.Wataalamu wanasema Mwanza ndo best and developed city after Dar and largest city after Kampala city at the lake zone.Sasa wewe la saba kilaza na nane kilaza sijui unaanzia wapi kuwapinga watalaam,pumbavu sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wape habari yao hao wazandiki waache kudemka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…