Nivizuri umekubali ukweli,wewe ni mkenya wa kipekee sana.Sawa la infrastracture sijui unaongea kwa kuzingatia upande hupi?Ukweli ni kwamba soon Mwanzacity itaifikia Mombasa city hata kuipita kwa mambo yanayofanyika Mwanza sio mchezo,Njoo Mwanza uone sio kusimuliwa sio kila kitu kinapostiwa hapa,hicho unachoona ni manispaa mojay Nyamagana na kuna zingine za ilemela na Kisesa