Kisumu vs Mwanza

Pole km we umeona nimekutusi, bifu za nn..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm kwangu kawaida nshazoea... Wala hata sina bifu nawe... Mimi nshazoeana na wakenya hata kule K.talk mm ni mwenyeji...Halafu haya mambo mnayachukulia kiuzito ilhali ni utani wa kawaida tu... Anyway tuyaache hayo tuendelee na mada... Ngoja nifute hizo post.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…