Total ****!
Wanawake wengine unaweza hata ukapiga talaka 100 na zsiwatoshe,
'Eti nimemkubali mkwe' .... Kichwa kikubwa kama tembo halafu ubongo kama mende!
So disgusting!
come on people it's cute and harmless ^_^ . kids grow out of it eventually na hiyo dhana ya kwamba watamkiss mtu yoyote si ya kweli. Mwanzisha thread, ungeweka specific link, hiyo ni home page ya u-turn na sijaona chochote kinachohusiana na hii thread
come on people it's cute and harmless ^_^ . kids grow out of it eventually na hiyo dhana ya kwamba watamkiss mtu yoyote si ya kweli. Mwanzisha thread, ungeweka specific link, hiyo ni home page ya u-turn na sijaona chochote kinachohusiana na hii thread
walikuwa ''neutral''. hawakuonesha hamu lakini pia hawakukataana. wangekuwa uncomfortable kama unavyodai wangeonesha ''outright rejection'' kitu ambacho hawakufanyaHivi unahitaji miwano ya mbao kuona jinsi ambavyo hata hao watoto wenyewe hawakuwa "comfortable" kupigana mabusu ya mdomo??..
mimi naelewa, ila hao ni wadogo nadhani <5yrs so it means nothing! hakuna matamanio yoyote kati yao, haina tofauti na hand shake. wangekuwa ma teenagers ingekuwa tofautiHuoni hawa watoto ni wa jinsia tofauti na kiss zilizopigwa hapo unaelewa tafsiri yake??
again ni wadogo, so it means nothing..hujasoma maeneo ya mama wa huyo dogo wa Kiume kuonyesha alichomaanisha kwa kuwalazimisha watoto kupigana mabusu mbele yao??
siwezi kumkiss mke wa rafiki yangu maana italeta tafsiri mbaya. mfano ni sawa kwa mtoto mdogo wa kike (2-4yrs) kutembea nje kifua wazi, haina madhara ila haimaanishi dada mtu mzima anaweza kumuiga..kwani upendo ndani ya familia au watoto wa marafiki haupo mapaka muwafanye watoto wenu wa jinsia tofauti kupigana makisss wakati ninyi wenyewe hamwezi kufanya hivyo (kwa mfano wewe kama mume umkisi mke wa rafiki yako mdomoni??)
inategemea na umri.Hivi kwa mtizamo wa kawaida tu kama wewe una mtoto wa kike utajiskiaje rafiki yako mwenye mtoto wa kiume atakapomlazimisha mwanae ampige busu la mdomo mtoto wako wa kike??..Utamfikiriaje kichwani mwako mtu huo, ana maanisha nini??
hey Iris wanna make out behind the curtain....Kenzo are you going to Kiss me or not? is this how slow you boys in Africa are?.....Alright im going to kiss you then......hahahhahaha......Kenzo kiss me some more pls do i have to make the first move everytime.....hahhahahha,,,,, uwiii Kenzo alimkomaje binti wa kifaransa, anajua malove dove balaaaaa......mama mkwe nimekubaliiiiiiiii....
\walikuwa ''neutral''. hawakuonesha hamu lakini pia hawakukataana. wangekuwa uncomfortable kama unavyodai wangeonesha ''outright rejection'' kitu ambacho hawakufanya
mimi naelewa, ila hao ni wadogo nadhani <5yrs so it means nothing! hakuna matamanio yoyote kati yao, haina tofauti na hand shake. wangekuwa ma teenagers ingekuwa tofauti
again ni wadogo, so it means nothing
siwezi kumkiss mke wa rafiki yangu maana italeta tafsiri mbaya. mfano ni sawa kwa mtoto mdogo wa kike (2-4yrs) kutembea nje kifua wazi, haina madhara ila haimaanishi dada mtu mzima anaweza kumuiga..
inategemea na umri.
Naelewa malalamiko yako lakini you read too much into it. kuna age ambazo hazina madhara, elewa kwamba unaweza kuwalaza watoto wadogo jinsia tofauti the same room, lakini huwezi wakiwa wamebalehe etc.
hey Iris wanna make out behind the curtain....Kenzo are you going to Kiss me or not? is this how slow you boys in Africa are?.....Alright im going to kiss you then......hahahhahaha......Ken zo kiss me some more pls do i have to make the first move everytime.....hahhahahha,,,,, uwiii Kenzo alimkomaje binti wa kifaransa, anajua malove dove balaaaaa......mama mkwe nimekubaliiiiiiiii....