kisonono kinasononesha


point of correction Bujibuji: tatizo langu lilikuwa kutopenda tendo lenyewe la zinaa.. lakini sikuwa mugonjwa mie.. Ila huyo appoh mwambie achanganye vitunguu swaumu na pilipili kisha apake kwenye mpododo huo..
 
Last edited by a moderator:
we mwana koma weee......... sosoliso hajawahi kutembelewa na hivyo vijidudu!!!

mwambie huyo babe Paloma.. ana hasira gari lake limeangukiwa na kifusi cha mchanga wa ghorofa pale mtaa wa Indira Ghandi.. Halafu ci kuna kile kigongo cha chura alimuhongaga demu wake.. kaenda kudai kakuta demu kabadilisha mpaka kadi ya gari.. ha ha ha.. basi ana hasira na kila mtu huyo Bujibuji..
 
Last edited by a moderator:

wamebadili hadi matairi, wameipimp imekuwa greda
 
Last edited by a moderator:
point of correction Bujibuji: tatizo langu lilikuwa kutopenda tendo lenyewe la zinaa.. lakini sikuwa mugonjwa mie.. Ila huyo appoh mwambie achanganye vitunguu swaumu na pilipili kisha apake kwenye mpododo huo..

jamani sasa patakalika kweli..........uuuwi nadhani feni na ac vinahusika sana kupoza!!!
 
we mwana koma weee......... sosoliso hajawahi kutembelewa na hivyo vijidudu!!!

Unakataa nini wakati Bujibuji anasema kweli?
Kwani kipindi kile soso akicheza mechi zake za ugenini ulikuwa unamuona? Au ni sisi marafiki zake ndo tulikua tunamsoma tabia zake za kuwabadilisha kama vyanuo. sosoliso alikuwa mhanga wa hilo gonjwa sema tu alikuficha.
 

ameshapona! maana nimemkuta bikira safi!!! chezea vitunguu saumu na pilipili (sijui mbuzi au pilipili hoho - :wink2:
 

Una nini nami ewe saudari..? Bwana Mungu na akusamehe kwa kuwa hujui utendalo.. ( Bujibuji style hiyo.. Utajijeijei)..
 
Last edited by a moderator:

hicho sio kisonono ni UKIMWI huo ila ni huu version mpya wenyewe haucheleweshi sana kw hyo mkuu hapo unalo, mtoto wa watu wala usimguse kufa mwenyewe.
 
Kaka Dawa zipo, usione aibu nenda kwa Daktari mpe fact in a week unakua sawa, Mpenz usimfiche danganya hata Allerge kama ukisema kweli ushaloose faith


Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
bado siku tatu nimalize dozi ya kisososno
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…