-Tunadeal na kuchomea vifaa vya chuma,aluminium,garvanized,stanlesstil n.k
-Pia tuna desgned kitu chochote cha chuma kuanzia vitanda madishirisha na vitu vingne
-Pia tunamashine ya kisasa ya umeme ya kuchonga bomba za chuma ziwe na threading bomba aina yoyote ile tunachonga na kuweka threading
-nje ya ofis pia kuna vijana wanafanya kazi
-ofisi zetu zpo mtaa wa mbaruku na nyamwezi kariakoo
-[emoji338]0712659807 & 0759236351
******YOUR IN SAFE HAND*****