INAUZWA Kisimbuzi cha Canal Plus

Angalia hiyo 75,000FB piga kwa rate ya 14,000FB inakuja pesa ngapi ya Tsh?
 
Huoni unaibia sirikale,Sio harafu ni halafu!
 
bei ni decoder ni Tsh.135,000
malipo kwa mwezi ni Tsh.55,000 mechi zote hapo league zote kubwa duniani UEFA,EPL,BUNDASILIGA,ITALY,FRANCE LEAGUE,LA LIGA.
Daaah, mnawavunja moyo watu. Bei ya canal+ kifurushi ambacho unaweza kunagalia soccer mechi zote wanazorusha ni 37k tu ya Kibongo. Kama mnataka cha juu fanyeni hata 45 siyo 55 yote!
 
Huu ni wizi mkuu, hata kama unafanya biashara si namna hii. King'amuzi kule Burundi kinauzwa tsh. 47k na kifurushi unachoweza kuangalia soccer ni 37k tu mbona mnataka kupata faida kubwa kiasi hicho!!!??? Msiwavunje moyo watu.
 
Tupe mawasiliano ya huyu wakala wa Tsh 37k kwa mwezi
 
Mimi sio wakala wala siuzi ila ni mtumiaji mzuri wa Canal na nipo kwenye group la Canal huko telegram, hivyo jamaa wanakutumia mzigo popote ulipo Tanzania
Naomba link ya hiyo chanel telegram chief
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…