SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
CAG anasema MaCCM ni MAJIZI. Mkapa anasema mihela ya EPA Imejenga CCM.Dah, nikiangalia jinsi hiyo ofisi ndogo tu inavyoipita ile kuu ya jamaa wa drama nabaki kusema tu kuwa kwa hapa bongo bado saaaana hawa jamaa kufikiwa
Kumbee, basi sawa!CAG anasema MaCCM ni MAJIZI. Mkapa anasema mihela ya EPA Imejenga CCM.
Kijana hovyo akili yako haina akili, kabisa kabisa.
Uchochezi huu halafu unacheeeeeka kimalayamalayaSukuma Gang wakimsikia Kinana mafi yanagonga gonga vyupi🤣🤣🤣🤣🤣
Dah, nikiangalia jinsi hiyo ofisi ndogo tu inavyoipita ile kuu ya jamaa wa drama nabaki kusema tu kuwa kwa hapa bongo bado saaaana hawa jamaa kufikiwa
Ni nani hao? Wako wapi walioleta kishindo? Mbona wanazidiwa na soko la samaki la feri?Sukuma Gang wakimsikia Kinana mafi yanagonga gonga vyupi🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo ni jaju muhindi kichaa ni CCM hewaNani huyu au ni mwanaccm wa sampuri gani hii?.
View attachment 2202052
Anawakilisha wahindi kidesign hii nchi bana!.Huyo ni jaju muhindi kichaa ni CCM hewa
Sukuma gang ni ccm hawana shida na ccm imewapa nafasi ya kutawala nafasi ambayo hawajawahi kuipata huko chademaNi nani hao? Wako wapi walioleta kishindo? Mbona wanazidiwa na soko la samaki la feri?