Siasa za majitaka!Ikiwa ni siku tatu tu toka Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Kinana na msafara wake wapite kukagua hospitali ya rufaa ya Hydom serikali imeamua kuajiri watumishi 94 waliokuwa wanafanya kazi hospitalini hapo bila ajira ya serikali. Watumishi hao waligikisha kilio chao kwa Katibu Mkuu Kinana wakati wa ziara yake hospitalini hapo.
Aidha ruzuku ya serikali kwa hospital hiyo imepanda kutoka 200mill mpaka 316 mill, ikiwa ni mwitikio wa serikali kwa kilio cha hospitali hiyo kwa Kinana alipotembelea hospital hiyo.
Mytake
Waliokuwa wana dai ziara za kinana hazina tija kanyweni uji sasa mlale! Na huo ni mfano tu!
Kadanganye wanawake wenzake kule. Kinana ni nani serikalini hadi atoe ajira kwa niaba ya wizara ya afya na kutoa ruzuku hospitali ya Hydom? Kakojoe ulale!
Kinana ni jembe ulaya
Yani juzi tu, then mambo yote hayo yametekelezwa? Sasa tumejua ziara za Kinana ni maigizo ya Serikali na chama tawala ili kujijengea imani kwa wananchi. Inatumia udhaifu uliokuwepo kujifanya imerekebishwa na ziara za kichama za mh. Kinana.
Kama wewe pole kumbe wajinga mnajitambua ha ha ha ha!hii iningia akilini, wajinga ndio waliwao
Ikiwa ni siku tatu tu toka Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Kinana na msafara wake wapite kukagua hospitali ya rufaa ya Hydom serikali imeamua kuajiri watumishi 94 waliokuwa wanafanya kazi hospitalini hapo bila ajira ya serikali. Watumishi hao waligikisha kilio chao kwa Katibu Mkuu Kinana wakati wa ziara yake hospitalini hapo.