Makambako home
Member
- Jan 6, 2022
- 9
- 5
Nilienda hospitals zaidi ya mbili nikaambiwa kitapotea taratibu sikuwa satisfied na majibu yao ndio maana nimeshare kama Kuna aliewahi kuexperience tatizo hili anijuze namna ya kupona.Sawasawa maana umeshafika hospital hapa
Sawa mkuu,twanga kitunguu swaumu ingiza hapo Kwa shimo funga kitambaa then asubuhi fungua oshea maji chumvi...Usiku tena fungia kitunguu swaumuNilienda hospitals zaidi ya mbili nikaambiwa kitapotea taratibu sikuwa satisfied na majibu yao ndio maana nimeshare kama Kuna aliewahi kuexperience tatizo hili anijuze namna ya kupona.
Jf sometimes unapata mwanga wa tatizo that's why Kuna hii forum
Utaua watu wewe!🤣Sawa mkuu,twanga kitunguu swaumu ingiza hapo Kwa shimo funga kitambaa then asubuhi fungua oshea maji chumvi...Usiku tena fungia kitunguu swaumu
Huniamini Kwan?Utaua watu wewe!🤣
Inaitwa "ndonda",kuna wataalamu wa kuzitibu kienyeji wanakata hiyo sehemu wanachoma na mafuta ya samli (ngombe)Mwaka 2006 hivi nilikanyaga mwiba damu zikanitoka, baada ya hapo palikauka vizuri tu ila palitengeneza kovu ambalo likazaa kishimo.
Yaani baada ya muda Kuna vijiuchafu mithili ya tunyama mfanano wa nyama za kwenye nyayo.
Hujaa na husababisha maumivu na nikitoa vile vinyama napata unafuu maumivu yanatulia kiasi.
Msaada nawezaje pata dawa Gani nikarejea katika hali yangu ya kawaida?
Na mashaka kidogo, ulijifunzia wapi?Huniamini Kwan?
Dawa za kienyeji nazifahamu mkuu,nimekulia porini like 🐒Na mashaka kidogo, ulijifunzia wapi?
Sawaa. Nitakuambia ugonjwa wangu na mimi unisaidie dawa za kienyeji!Dawa za kienyeji nazifahamu mkuu,nimekulia porini like 🐒
Sawa mkuu.....kama hujawahi lazwa bas mwenzio nipo hapa sijawahi lazwa pia....labda nilipokuwa najifunguaSawaa. Nitakuambia ugonjwa wangu na mimi unisaidie dawa za kienyeji!
Sijawahi kulazwa kabisa mkuu!😀Sawa mkuu.....kama hujawahi lazwa bas mwenzio nipo hapa sijawahi lazwa pia....labda nilipokuwa najifungua
Hongera sanaSijawahi kulazwa kabisa mkuu!😀
Hongera sana