Kisha wenye njaa wakamwendea mfalme, naye akawajibu, 'Siwajui mtokako'!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,793
Nao wenye njaa wakamwendea mfalme wakimwambia,
Ulipokuwa unaomba kura, tulikuwa pamoja nawe, Hata kwenye ma Fuso tulipanda kuja kwenye mikutano yako na kuimba pambio za kukusifu...
Hata yale mafuriko tulijitahidi kuyazuia kwa mkono, sasa leo tumekuja tuna njaa tunaomba utuokoe mfalme wetu!
Naye mfalme atawajibu akisema, 'Siwajui mtokako'!
 
Back
Top Bottom