Kisarika sekondary.

Johnson Alex Otieno

Senior Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
176
Reaction score
62
Ndg zangu wa jukwaa hili tukufu salaam,ndg zangu naomba anayeifahamu kisarika secondary ya kilimanjaro naomba anisaidie kupata no ya mkuu wa shule au mwalimu yoyote wa shule hyo.
Kuna mwanafunzi kachaguliwa shule hii ila had I sasa amekwama maana hajapata join instruction.

Nawaomba mnisaidie ili kufankisha mtoto hyu akapaye elimu maana no haki take ya mcngi.
Asante sana kwa kufanikisha jambo hili.
 
aje tu kisarika akikwama ani pm nimpokee nimpandishe hapi chap asisahau blanket wakati wa baridi ni kali+viatu vigumu tope linanata na bublish wakati wa mvua, ila ni greenish hewa safi.
karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…