Kisa we mjeda au ndo ubabe??

Kwanini hao Raia wasitumie ule mlango mkuu kuingia? Wao kitu ambacho hawataki ni raia kupita kule kwenye michongoma wakikukamata lazima wakutese. Huwa hawataki watu kupita kule vichochoroni kwa kuogopa uhalifu.
 
Kumbe,hapa nimekuelewa.kwa kosa hilo i support them but question comes why matusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…