Kisa Siti!...Mjeda! Kanipa Makonde Makali!

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,831
Kama Mnavyoelewa Shida Ya Usafiri Wa Mbagara
Wajeda Wawili Waliounyuka Kinadhifu Nao Walikuwamo Katika Mtifuano Huo
Sasa Ikatokea Nimewahi Siti Kati Ya Siti Pacha Ila Upande Wa Dirishani Uliwahiwa Na Mjeda Mmoja
Nikajikuta Nami Nimekaa Upande Mwingine ...Kumbe Nilikuwa Nimemuwahi Yule Mjeda Wa Pili, Kwani Lengo Lake Lilikuwa Kukaa Na Mwenzie

Kwakuwa Niliamini Ile Ilikuwa Haki Yangu Niliyomtangulia.....Niling'aka Kuwa Hapa Hatoki Mtu Hata Iwe Vipi!......Nasema Sitoki!....Ikawa Vuta Nkuvute Pale

Ikiwa Safari Ishaanza Na Siti Zote Zimejaa Abiria!........Majibizano Hayakufika Mbali... Mara Ghafla Nilishtuliwa Na Makonde Makali Mfululizo Toka Kwa Mjeda Huyu Hasiye Na Huruma
Nikaona Bora Nimuachie Siti Akae ...Hasije Kuniua Bure.......Na Nilipomwambia Yeye Anapaswa Anilinde Mimi....Mjeda Alinitisha Kunikomesha
ili Kuepusha Shari Nikaona Bora Nishuke Haraka Sana Kituo Kinachofata Ingawa Haukuwa Mwisho Wa Safari Yangu
naomba Wajeda Waache Uonevu

Ahsante Jigo
 
Kawe ccm tumechukua
 
Hawa wanajifanyaga wababe sababu wana umoja, ukimpiga mmoja kisawasawa anaenda leta wenzake, au hata kama hawajuani ila ni mjeda wataanza kukuchangia. Ila kama uko fiti kiasi, one on one kwenye street fight wanatokaga kamasi. Kuna mmoja aliingiaga choo cho kike kwa wahuni wa kitaa kujifanya mbabe hivyo hivyo, zilimtoka kamasi, alipewa dozi kisawasawa, ila baada ya wk alienda leta wenzake. Binafsi, naheshimu yale magwanda yao tu, akiwa kiraia, tunazipiga fresh tu.
 
na ukiendelea na kiburi juu yetu tutakuvunja taya
cc ndo wenye nchi

Hamna kitu, ni hayo magwanda raia wanayaheshimu, sio nyie mlioyavaa. Baadhi ya polisi wanawatoaga kamasi. Ubabe wa bure! Wewe ni mlinzi wa nchi, sio mwenye nchi, nyie makoplo mapumbavu sana, ndo mlivyokuwa brainwashed kuwa nyie ndo wenye nchi?
 
Hivi wenyewe huwa hawapewi tenda za kung'oa watu kucha na meno?
 
mkuu kama umeshika namba yake unaweza kwenda polis kutoa shtaka la shambulio la kudhuru, hakuna aliye juu ya sheria. huyo anakamatwa vizuri tu.
 
Hawa wanajifanyaga wababe sababu wana umoja, ukimpiga mmoja kisawasawa anaenda leta wenzake, au hata kama hawajuani ila ni mjeda wataanza kukuchangia. Ila kama uko fiti kiasi, one on one kwenye street fight wanatokaga kamasi. Kuna mmoja aliingiaga choo cho kike kwa wahuni wa kitaa kujifanya mbabe hivyo hivyo, zilimtoka kamasi, alipewa dozi kisawasawa, ila baada ya wk alienda leta wenzake. Binafsi, naheshimu yale magwanda yao tu, akiwa kiraia, tunazipiga fresh tu.

usomalo Ni Kweli Na Ndio Maana Nikaamua Kupotezea Ingawa Nami Mchezo Nauweza
Nikajua Hawa Wataitana Tu!
 
sikuliona Chief
Pole sana inaonekana makonde mawili yalikuwa ya kushutikiza....! Jitahidi utafute mafunzo ya kujilinda...wale wanaovaa suruali fupi ...ni wazuri sana kwenye mafunzo hayo...maeneo ya mbagala na kinondoni moscow ama hananasif..wanapatikana.
 
Back
Top Bottom