Kwanza nimesikitishwa sana na mlalamikaji, hana hoja yoyote ya mashiko inayomfanya alalamike, na hapo kumuhusisha Mungu kwamba yeye ndo atalipa haina mashiko pia alipe kwa sababu ipi au ndo atazidi kumuongezea baraka aliyemsaidia?
Shida ya mlalamikaji ni kusaidiwa alitakiwa aachwe tu ateseke. Umemsaidia akiwa na mtoto mmoja mwenzio anaona amejipata anaongeza wengine wawili๐ alafu anawaza eti anaroho nzuri na mwema kwamba hajaenda kumroga mwenye nyumba asahau nyumba yake๐ฎ
Yaani akubali tu kuwa amekosea