huyu dogo mjinga, yeye anapaswa kuwajibu wanomtusi kwa kuzifumania nyavu, watesi wake watanyamaza na kuanza kumpigia makofi, nakumbuka kwenye mechi moja huko ulaya kuna matumbi akiwa anjiandaa kupiga kona alibaguliwa kwa kutupiwa ndizi na yeye akaiokota akaimenya na kuila kisha akapiga kona iliyo enda kusababisha goli, mwishowe waliomtupia hiyo ndizi wakampigia salute.....