Huku dhuluma inatendeka waziwazi halafu viongozi wa nchi wanasimama kila siku na kuomba waombewe, niombeeni, niombeeni, labda sasa aseme wana ccm wenzangu niombeeni, marais wenzangu mlio tangulia niombeeni nikitetee chama bila kujali utu wa mtu, aeleweke aache unafiki wa ku panua pua kila anapopigiwa makofi na vigelegele, unafiki mbaya sana kwa kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.