Kirusi Cha HIV kina variants tofauti nyingi

Kirusi Cha HIV kina variants tofauti nyingi

United ya Ferguson

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2021
Posts
3,234
Reaction score
6,597
Hii habari imesambaa jana na kuleta hari. Ya hofu isiyohitaji

Kitu Cha kwanza unafaa ufahamu sio kirusi kipya kama ilivyo andikwa kwenye vyombo vya habari ila ni variant mpya ya kirusi kile kile. Kirusi Cha HIV kina variants tofauti nyingi. Hii sio mara ya kwanza kutokea. Mwaka 2013 madaktari Sweden waligundua variant ya HIV ambayo walihofia kuwa itakuwa hatari zaidi na kusababisha maafa zaidi (waliita A3/02). Ndio iligundulika na tukaishi nayo na dawa zilizopo ziliimudu hadi sasa.

Fahamu kwamba HIV ina aina mbili
1 na 2
Hiyo aina ya HIV 1 ina variants zaidi ya kumi tofauti. Hii iliyotangazwa jana inaingia kwenye variants tofauti za HIV 1
Tumeishi nazo na tutaendelea kuzibiti kupitia dawa,sindano n.k
in short Haina haja ya kuzua taharuki na hofu yoyote .

Kwenye ulimwengu wa virusi sio jambo geni kugundua variant mpya hata corona alikuja na variant 5+ lakini amedhibitiwa

Tuendelee kuimarisha Kinga zetu za mwili na kujilinda zaidi, usikubali kumuambukiza mweza wako pima tambua status yako
 
Kwenye ulimwengu wa virusi sio jambo geni kugundua variant mpya hata corona alikuja na variant 5+ lakini amedhibitiwa

Tuendelee kuimarisha Kinga zetu za mwili na kujilinda zaidi,usikubali kumuambukiza mweza wako pima tambua status Yako
 
Back
Top Bottom