Hao ni wavuta bangi maarufu kwa jina la polisi wa kutuliza ghasia. Mara nyingi huamini wapo juu ya sheria.
Ila daima ujanja wao wakiwa wengi tu. Ukimkuta mmoja huwa wachumba tu.
Kweli aise tuliwahi kupiga polisi pale sayansi kona ukivuka mataa alikuwa pekeyake alizingua sana mpaka Leo hatuja pita maeneo yale tena na wala hatajumaki sura .... kama upo hmu jf atasoma hii comment
Habari za mda huu wana ndugu kwa mwenye kujua naomba mniambie kirefu cha FFU ni mara nyingi nimekuwa nikisoma kwenye magari ya polisi ....maana hata sielewi