Kipundupindu kishatumika basi kimalizeni nyie wanasiasa

Kipundupindu kishatumika basi kimalizeni nyie wanasiasa

Dr Michael

Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
30
Reaction score
14
wanasiasa na baadhi ya watendaji wamekitumia kipindupindu kisiasa wakati wa uchaguzi kwa sasa tunawaomba wakimalize maana tunaumia sisi watanzania katika kutumia kodi zetu kutibu wagonjwa wa ugonjwa
MALIZENI HILI MLILOLIANZISHA
 
saiv kipindupindu.ukonyuma walitumia babu wa loriondo,lig z mpira,vifo vya watu maarufu,vituko vya akina nyoso,mabifu ya mastar nk....

lengo ni kutupumbaza*
 
Back
Top Bottom