Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Somo tajwa hapo juu lahusika.
Waziri ni mteule wa Rais. Hupewa ulinzi na pengine msafara ama malazi / usafiri / chakula na mengineo kiprotokali.
Akiwa mikoani katikati ya majukumu yake halafu akaenguliwa anasitishiwa huduma gani au mambo gani right on the spot ?
Vitu gani anavikosa papo hapo hata akiwa safarini ? Au ni mpaka apewe official letter ndipo huanza kuhudumu kama Mbunge wa kawaida ?
Ni hili tu.
mamaeeeCha kwanza ukisikia taarifa za utenguzi wako, dereva wako anang'oa namba za Uwaziri zinawekwa za Kawaida.
Bendera inashuswa, hapo hapo unakuwa mbunge wa kawaida
3. kuanzia hapo anakuwa na akili timamu maana anakuwa ameshaonja joto la jiwe.1. Upashikuna na unakunaku vyote vinamtoka.
2. Moyo wa kuisemea siri-kali anaushusha papo hapo.
mkuu leo umekuja na 'utani' mzuri.....Anakabidhi zile tai zenye rangi ya bendera Za Tafa
ile ndio ID yake..hawezi kumpa mtuAniazime scaf yake...naikubali kinoma
Gari la Ofisi
Nyumba ya Waziri Dsm na Dodoma
Simu ya Mkononi
Mlinzi
Msafara
Secretary / Katibu wake
Kitambulisho chake
Bendera ya Taifa
Vyote hunyang'anywa paaapu!
Hataivaa tena ule ni unaa wa madaraka tuile ndio ID yake..hawezi kumpa mtu