Kiprotokali Waziri akienguliwa akiwa katikati ya majukumu yake mikoani mambo gani husitishwa kwake mara moja?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,302
2,000
Somo tajwa hapo juu lahusika.

Waziri ni mteule wa Rais. Hupewa ulinzi na pengine msafara ama malazi / usafiri / chakula na mengineo kiprotokali.

Akiwa mikoani katikati ya majukumu yake halafu akaenguliwa anasitishiwa huduma gani au mambo gani right on the spot ?

Vitu gani anavikosa papo hapo hata akiwa safarini ? Au ni mpaka apewe official letter ndipo huanza kuhudumu kama Mbunge wa kawaida ?

Ni hili tu.
 
FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,588
2,000
kwenye ofisi za kawaida ukifukuzwa kazi au ukuacha kazi.. unapewa clearance fomu ambapo utarudisha kila kitu cha ofisi within a working day inayofata.. labda uwe na dharura kama ugonjwa...

nina imani waziri nae anafanya hivyo.. ila kumlazimisha same day sio fair.. jumapili au jumamos unamrudishia nani gari au kitambulisho au simu. ofisi gani ipo wazi
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,149
2,000
Somo tajwa hapo juu lahusika.

Waziri ni mteule wa Rais. Hupewa ulinzi na pengine msafara ama malazi / usafiri / chakula na mengineo kiprotokali.

Akiwa mikoani katikati ya majukumu yake halafu akaenguliwa anasitishiwa huduma gani au mambo gani right on the spot ?

Vitu gani anavikosa papo hapo hata akiwa safarini ? Au ni mpaka apewe official letter ndipo huanza kuhudumu kama Mbunge wa kawaida ?

Ni hili tu.

Mimi najua ambacho Mtu hukikosa haraka ni kama ' akitumbuliwa ' ni kutovalia tu tena kwa Kujiamini na Madaha yote ' Skafu ' yake yenye Bendera ya Tanzania inayoijumuisha pia na Mkoa wa Singida.
 
DomieLe

JF-Expert Member
Sep 1, 2016
809
1,000
Gari la Ofisi

Nyumba ya Waziri Dsm na Dodoma

Simu ya Mkononi

Mlinzi

Msafara

Secretary / Katibu wake

Kitambulisho chake

Bendera ya Taifa

Vyote hunyang'anywa paaapu!

Hivi kinachotangulia kukabithiwa ni gari au ofisi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom