Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga, leo wanaikaribisha Mtibwa Sugar ya Turiani kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kumalizia kiporo chao cha raundi ya 19 ya Ligi Kuu, matokeo ambayo yanaweza kuipeleka Yanga kileleni ikiwa itashinda.
Yanga inapigania kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo ambako mahasimu wao, Simba, wametawala tangu timu hiyo ya Jangwani ilipokuwa ikipambana kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.
Kwa habari zaidi, soma hapa => http://www.fikrapevu.com/kiporo-cha-mtibwa-chaweza-kuipeleka-yanga-kileleni-ligi-kuu/