Unafikiria sana wewe..!!!Huyo farasi kamjua wap?mpaka aweke image mtu anafanana na farasi
Kumbe unafikiri Ukimuhadithia kipofu juu ya mtu, yeye hua anajengaga picha kua mtu anafanana na hewa??Huyo farasi kamjua wap?mpaka aweke image mtu anafanana na farasi
atajuaje anafukuzwa na simba huku simba hamjui?!anaweza kuota kuwa anafanya mapenzi.
anaweza kuota anajisaidia haja ndogo kitandani
anaweza kuota kuwa ameoa
anaweza kuota kuwa anakimbizwa na Simba .
anaweza kuota kuwa kachaguliwa kuwa mbunge na JPM.
vile vile anaweza kuota kuwa tatizo lake la kutokuona limeisha halafu akiamka anajikuta yupo vile vile.
hayo ni matendo ambayo haiitaji kuona ili kuyaota.
kwahiyo nao wanaota.
Unajua hata watoto wadogo wanaota hata kabla hawajazaliwa?habari zenu wana jf..?
swali langu ni je mtu aliyezaliwa kipofu anaweza kuota ndoto..?
i mean toka amezaliwa mpaka amekuwa hajawahi kuona(kipofu).
karibuni...
sawa kuota ataota sa kwenye hiyo ndoto ataona na picha..?kwa nini asiote??ndoto huoti sababu ya unavyoviona bali mara nyingi mtu huota sababu ya vitu vinavyotawala sana mawazo yako,na bila shaka nao huwaza hupenda huchukia nk hayo mambo yainaweza kuwapelekea kuota
Asante kwa maelezo yakoSayansi inasema hivi....mtu hana uwezo wa kuota taswira mpya au ubongo wa mwanadamu hauna uwezo wa kujenga au kutengeneza taswira mpya ya kitu au mtu,chochote uotacho ni lazima umekiona au uyo mtu umemuona in any how.
Sasa turudi katika topic: kuota ni kurudia rudia yale uliyoona na kuyatafakari baada ya kuona sasa kipofu wa kuzaliwa anao uwezo wa kuota wa yale ya asili ambayo mtu wa kawaida naye huota pia. Ndo hapa unakuja katika ndoto ya aina ya 3 ambayo wengi mnaisikia inayoitwa DEJA VU.
NAWASILISHA.
anajenga na picha ya kufikirika imagine kama kipofu kafanya mapenzi na mwanamke na labda hajayaona maziwa nk ila lazima ndotoni atakumbuka kuhusa umbo la hayo maziwa kama aliyashika,sawa kuota ataota sa kwenye hiyo ndoto ataona na picha..?
nafkr nkpata kipofu nkamuhoji anaweza kunambia haya ila tatizo atahisi kama namkejeli.anajenga na picha ya kufikirika imagine kama kipofu kafanya mapenzi na mwanamke na labda hajayaona maziwa nk ila lazima ndotoni atakumbuka kuhusa umbo la hayo maziwa kama aliyashika,