Kipindi cha Hello Mr. Right

Sema naona ni kama mademu flani walioshindikana mtaani hao.demu mzuri huwezi kwenda kutafuta mwanaume mle kwenye TV show,hata wanaume wenyewe ni wale ambao hawana issue za maana mjini wapo wapo tu.
 
Sema naona ni kama mademu flani walioshindikana mtaani hao.demu mzuri huwezi kwenda kutafuta mwanaume mle kwenye TV show,hata wanaume wenyewe ni wale ambao hawana issue za maana mjini wapo wapo tu.

Mkuu kama alivyosema ROBERT juu huko ,Pale ni sanaa na wasanii ,ni maigizo ,its all about entertainment then biashara watu wanatengeneza Pesa.
 
Sio kweli wanalipwa yaani ni kama maigizo flani na kila kitu kinakuwa kishapangwa
 
Nimekosa nini katika hii dunia?
Watoto wa watu kutwa wanalilia nafasi leo hii nikatafute mke kwa tv kweli?
Huo utakuwa uzwazwa
Wale washkaji wanaokujaga pale aisee ni watu wa ajabu ajabu sana hadi unaelewa kwann wanawake hawa waelewi. Mara walie mara waseme mambo ya ajabu.

Kuna m'moja alikuja anasema hajawahi ruka na demu ni bikra kwa miaka yote aliyoishi sasa hapo ndipo nikaona huu ni mtihani tena mkubwa.
 
Hao ni wahuni wahuni navwauza sura tu mkuu.
Huwezi kuoa mwanamke kwa kumtazama tu.
Kuoa ni taasisi inayohitaji mchakato mrefu sana tu.
Kumbuka unajiletea mikosi au baraka kwako so inahitaji utulivu na muda
 
Unataka kujua background ya mschana utaishia kulia tu. Watoto wa kike huwa wanasulubiwa sana hadi afikie umwoe wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…