Kipindi cha Hello Mr. Right

Sister Abigail

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2020
Posts
3,972
Reaction score
12,489
Nimekutana na kipindi kinarushwa kwenye TV, mtangazaji ni Mc Garab, Lulu Diva na wengine.

Wale washiriki wanapatikanaaje? Je, ni bure mrembo unajitokeza tu, na inakuaje mpaka wadada wazuri vile wanafikia hatua ile?
Inaleta picha gani wadada wanamlilia mwanaume fulani anaejitokeza, na bado wanatafuta mwingine analiona hilo?

Na kuhusu wanaume wanaojiopolea vimwana[emoji16], huwa wanafanyiwa kitu wafike stage nyingine ama ukiopoa ushaopoa mtaelewana mbele?

Mi sijui jamani wanaojua wanijuze.
 
Lakini inaweza kutokea baadhi wakawa perfect pair na kufika mbali.huwezi jua

Ila mi nawaza tu mwanamke mwenzangu anajiliza pale watu kibao wanamwangalia akichaguliwa.je baada ya mwezi yakivunjika atarudi tena pale au?
Maana unachukua mtu hujui ana mini nyuma yake.ukute kipanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…