Inategemea na ugomvi utakaoanzisha,mwingine ukijifanya kumchokoza kwa kuomba 0713 inakuwa mwiso
Hapo kwenye uhisiano kabla ya ndoa wengi wao wanaficha makucha,hasa yule anaemuhitaji mwenzie kuna watu hata uwafanye vipi wana stahmili,salam zake utazipata akisha kuweka ndani au ukisha muweka ndani hapo ndio utauona mpili pili na maua yake..
Ni vizuri lakini hekima na busara ni muhimu itumike ktk kufanya jaribio hilo, la sivyo badala ya kufanya jaribio utafanya UE
Hapo kwenye uhisiano kabla ya ndoa wengi wao wanaficha makucha,hasa yule anaemuhitaji mwenzie kuna watu hata uwafanye vipi wana stahmili,salam zake utazipata akisha kuweka ndani au ukisha muweka ndani hapo ndio utauona mpili pili na maua yake..
Mimi napingana nawe kidogo na sababu ya kufanya hivyo ni kama ifuatavyo;
Mwanaume na mwanamke waelekeapo ndoa hupitia hatua kadhaa ikianza na urafiki, uchumba na hatimaye ndoa...
Binafsi naamini hatua ya uchumba si hatua stahiki ya kumchunguza mtarajiwa wako na wengi hukosea hapa...
Kwanza uchumba hupaswa kufanyika kwa muda mfupi mno, kwa kuwa hatma ya mahusiano tayari huwa bayana...
Hatua pekee ambayo ni muhimu sana ni ile hatua ya mwanzo ya urafiki na kufahamiana kwa kawaida...
Huu ndio wakati haswa wa kumchunguza mwanaume au mwanamke, ni wakati ambao hupaswi kutoa ahadi yoyote itafsiriyo hatma ya mahusiano...
Wengi waliofanya haya hawajawahi kujuta na mbinu hii ndio ilitumika zamani, na uchunguzi ulienda mbali zaidi kwa watu kuchunguzana hadi asili ya familia, miiko n.k
we mchokoze mwenzio kumbe alikuwa anakutega utibue akuache mazima
Uchumba siku hizi una USER MANUAL SCRIPT!!!!!!!! Mambo kama maigizo tu mpaka UOE. KUNA CODE OF CONDUCT KABISAAA na FRATERNITY za wadada kujadiliana namna gani umuhadae mkaka mpaka pete ipatikane.:lol:.
Naeza kubali hii dhana coz huwa sielewi kbs mda stahiki wakukaa kwenye mahusiano mpk kufunga ndoa ni upi watu wanaeza kaa miaka3 wakahisi wanajuana vyakutosha lkn bado wakaja kuachana wengine wakakutana na ndani ya mwaka wakafunga ndoa na ikadumu vilevile kiukweli kwa sasa sielewi hasa ni nini kinachoendelea katika ulimwengu huu wa mapenzi nahisi kuvurugwa tu nakuona nyota....theres no formulaMadogo acheni kujidanganya. Wakuoa huja naturally, yani hata udhanii
Naeza kubali hii dhana coz huwa sielewi kbs mda stahiki wakukaa kwenye mahusiano mpk kufunga ndoa ni upi watu wanaeza kaa miaka3 wakahisi wanajuana vyakutosha lkn bado wakaja kuachana wengine wakakutana na ndani ya mwaka wakafunga ndoa na ikadumu vilevile kiukweli kwa sasa sielewi hasa ni nini kinachoendelea katika ulimwengu huu wa mapenzi nahisi kuvurugwa tu nakuona nyota....theres no formula